President Magufuli has urged teachers to ignore today's government statement on the cancellation of training of Nursery and Primary school Teachers at the Certificate level.
Rais Dkt. @MagufuliJP amewataka walimu kupuuza taarifa inayoeleza kuwa serikali imefuta mafunzo ya ualimu wa shule za msingi na awali kwa ngazi ya cheti na kuwa mafunzo yataanzia diploma. Rais amesema tangazo hilo ni la kipumbavu na kwamba ataendelea kuwa pamoja na walimu wote. pic.twitter.com/xgzTATTQoU
— Swahili Times (@swahilitimes) October 5, 2020
Social Plugin