View this post on Instagram CloudsFM na CloudsTV zimewasha mitambo yake saa sita usiku huu baada ya siku 7 za ukimya kufuatia adhabu ya TCRA ya kuzima mitambo ya vituo hivyo kwa siku 7. Wafanyakazi mbalimbali wakiwemo Watangazaji na Dj’s walijaa kwenye sehemu mbalimbali za Mjengoni ikiwemo studio kusubiria muda wa mitambo kuwashwa wakiwa wamevalia pajama kama inavyoonekana kwenye hii video. (📹 @ayotv_ ) A post shared by CR millard ayo (@millardayo) on Sep 3, 2020 at 2:16pm PDT
CloudsFM na CloudsTV zimewasha mitambo yake saa sita usiku huu baada ya siku 7 za ukimya kufuatia adhabu ya TCRA ya kuzima mitambo ya vituo hivyo kwa siku 7. Wafanyakazi mbalimbali wakiwemo Watangazaji na Dj’s walijaa kwenye sehemu mbalimbali za Mjengoni ikiwemo studio kusubiria muda wa mitambo kuwashwa wakiwa wamevalia pajama kama inavyoonekana kwenye hii video. (📹 @ayotv_ )
A post shared by CR millard ayo (@millardayo) on Sep 3, 2020 at 2:16pm PDT
Social Plugin